NEW FORM FOUR Read NOTE from National Examination Council of Tanzania (NECTA) -JANUARY 2022

JIUNGE TELEGRAM GROUP LETU

Summary of NECTA's History:

After Tanzania Mainland had pulled out of the East African Examinations Council, in 1971 and before NECTA was established by Law, in 1973, the Curriculum and Examinations Section of the Ministry of Education was responsible for all examinations. With the establishment of NECTA, the Examinations became its responsibility in accordance with the law.

FOR FORM FOUR RESULTS CLICK HERE/KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE BOFYA HAPA

The Curriculum continued to be under the Ministry of Education and the University College, Dar es Salaam until when it was taken over by the newly established, autonomous Institute of Curriculum Development (ICD) in 1975, which in 1993 was renamed as the Tanzania Institute of Education (TIE) 

Between 1972 and 1976 the first staff of NECTA were recruited, among them was Mr. P. P Gandye who was recruited in 1972 and later on in 1994 was appointed as Executive Secretary. The other staff members continued to be recruited and especially so when NECTA's premises moved from the Ministry of Education Headquarters to the present premises at Kijitonyama near Mwenge. Presently the number of NECTA's staff is more than 250. 

NECTA: Importance Public Notice to FORM FOUR and QT 2022 | BONYEZA HAPA CHINI KU DOWNLOAD PDF FILE YA MAELEZO KAMILI...Read full notice through the link below:

Please download the PDF file below....

DOWNLOAD PDF FILE HERE!

OR READ THE  NOTE HERE BELOW

 TANGAZO

 Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwajulisha watu wote wanaotarajia kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) Novemba, 2022 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba; 

1. Kipindi cha kawaida cha Usajili kitaanza tarehe 01/01/2022 kwa ada ya Shilingi 50,000/= kwa wanaojisajili CSEE na Shilingi 30,000/= kwa wanaojisajili QT na kitaishia tarehe 28/02/2022. Aidha, watakaojisajili kwa kuchelewa kuanzia tarehe 01/03/2022 hadi tarehe 31/03/2022 watalipa Shilingi 65,000/= kwa Watahiniwa wa Kidato cha Nne (CSEE) na Shilingi 40,000/= kwa Watahiniwa wa Mtihani wa Maarifa (QT) ikiwa ni ada ya kawaida pamoja na faini.

 2. Mtahiniwa atakayejisajili kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2022 ni yule ambaye anarudia Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) au amefanya na kufaulu Mtihani wa Maarifa (QT) katika kipindi kisichozidi miaka mitano (5) iliyopita au mwenye sifa zinazolingana na hizo alizopata kutoka nje ya Nchi na kufanyiwa ulinganifu na Baraza la Mitihani la Tanzania.

 3. Mtahiniwa atakayejisajili kufanya Mtihani wa Maarifa ni yule ambaye anatafuta sifa ya kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne kama Mtahiniwa wa Kujitegemea.

 4. Usajili unafanyika kwa njia ya mtandao, kwa kufuata hatua zifuatazo; 

(a) Fika Kituo utakachofanyia Mtihani ili kupata namba rejea (Reference Number) ambayo inatolewa bure. 

(b) Fika Ofisi ya Posta kupata ‘Control Number’ ya kufanyia malipo ya ada ya Mtihani au ingia katika tovuti ya Baraza la Mitihani ili utengeneze ‘Control number’ ya kufanyia malipo kwa utaratibu ulioelekezwa.

 (c) Fanya malipo ya ada ya Mtihani kupitia Posta au Benki kwa kutumia ‘Control Number’.

 (d) Fika Posta kufanya usajili au jisajili mwenyewe kupitia tovuti ya Baraza la Mitihani kwa kufuata hatua zilizooneshwa kwenye tovuti.

 (e) Baada ya usajili kukamilika chapa na wasilisha nakala moja ya fomu Ofisi ya Posta, wasilisha nakala ya pili kwenye Kituo utakachofanyia Mtihani na nakala ya tatu ya fomu itunzwe na wewe (mtahiniwa) mwenyewe kwa ajili ya kumbukumbu. 

5. Ufafanuzi kuhusu utaratibu wa hatua za kufuata katika usajili, umetolewa katika tovuti ya Baraza la Mitihani www.necta.go.tz. Waombaji wote wanasisitizwa kuhakikisha wanajisajili mapema kwani mfumo wa usajili utafungwa baada ya kipindi cha usajili kumalizika.

 Imetolewa na; KATIBU MTENDAJI

You may also like

Join Telegram group
Previous Post Next Post